Thursday, November 1, 2012

KUTOKA MIREMBE


Kichaa mmoja kapiga simu hospitali.

KICHAA: "Hallooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu ?"

NESI MAPOKEZI: "Subiri nikaangalie..."


KICHAA: "Pouuuwa"

NESI MAPOKEZI: "Nimekwenda kuangalia lakini hakuna mtu, kwa nini umeuliza hivyo?"

KICHAA: "Nilitaka kupata uhakika kama kweli nimetoroka au bado nipo......!!!"