Saturday, February 25, 2012

BADILISHA SENTENSI HII KUWA KATIKA WAKATI UJAO


Mwalimu aliandika sentensi ubaoni:
"Niliua mtu."
Badilisha sentensi hii kuwa katika wakati ujao
Mwanafunzi akajibu kwa wakati ujao:
"Utakwenda Jela."