Tuesday, February 28, 2012

NIFUNGIE KILO MBILI


Kuna jamaa alikuwa atoka Arusha akushukia hoteli moja Moshi akaomba aletewe chai, alipoletewa ikiwa haina sukari akaomba apewe sukari kisha akauliza sukari bei gani akaambiwa ni bure akasema basi nifungieni kilo mbili.