Tuesday, February 28, 2012

LETENI MAZIWA


Kuna mtu aligongwa na bodaboda akawa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi, basi wale madokta  wanao muhudumia wakasema leteni maziwa, yule jamaa  aliyegongwa na bodaboda akaropoka kwa sauti oya na mkate nusu msisahau.