Saturday, March 2, 2013

LAWYER ZONEMwanasheria alifanya mapenzi na demu kwenye gari, yule demu akasahau chupi yake.
Mke wa mwanasheria alipoingia kwenye gari akaiona chupi kwa hasira akaichana na kumkemea mumewe,Mwanasheria akasema umechana ushahidi ktk kesi ya ubakaji na ningepata milioni 2,kwa kesi hii. Mke akajibu samahani sana mume wangu sikujua ngoja basi niweke yangu inafanana na hii! Chezea mwanasheria weye?