Monday, February 25, 2013

MADAKTARI


Walikutana madaktari watatu kutoka Ujerumani, China na Tanzania!
Daktari wa Ujerumani akasema kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana medali tatu za dhahabu! Daktari wa China akasema sisi kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea ya bandia sasa ni mcheza kareti maarufu duniani! Daktari wa Tanzania  akacheka kwa dharau akasema hamjatufikia sisi kwetu alizaliwa mtoto Bagamoyo hana kichwa tukamwekea boga, sasa ni rais wa nchi yetu.!