Friday, February 1, 2013

UZIO WA MAKABURI

Padri aliwaambia waumini wachangie hela ya kuzungushia Makaburi uzio,
Mlevi akauliza kwani kuna marehemu ameshawahi kutoroka??