Sunday, February 24, 2013

MGOMO BARIDI


Bado tupo kwenye msiba wa ndugu zetu kidato cha nne, hivyo tuungane wote kwa kusema
" NECTA IMETOA, NECTA IMETWAA, KIDATO CHA TANO WALIKIPENDA  LAKINI KITAA KIMEWAPENDA ZAIDI, JINA LA NECTA LIHIMIDIWE!" AROBAINI MPAKA WAZIRI MWENYE DHAMANA AJUZULU.