Thursday, January 10, 2013

FURAHIA ULIMWENGU WA DIGITAL


Mwaka 2013 NOKIA Wameboresha mambo kwa kuweka lugha ya Kihaya kwenye simu na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:- 

*Phonebook EKITABO KYE SIMU 
*Names AMABALA 
*Time IZOBA 
*Ringtone EMYETO
*Setting EMITEKANISO
*Call KUTELA
*Missed call ESIMU ETATOLWA
*Receved call ESIMU EZATOLWA
*Dilled call ESIMU EZATELWA
*Game EMIZANO
*Menu EBILIMU
*Vibration EMICHUNDAIGUKO

Vipi situtaipenda? FURAHIA ULIMWENGU MPYA WA DIGITAL..


Courtesy: www.issamichuzi.blogspot.com