Sunday, January 13, 2013

MLOKOLE


Mlokole moja leo alikutwa akinywa gongo, akaulizwa mbona unakunywa gongo na wewe ni mlokole? akajibu "Zaburi 23 inasema gongo lake na fimbo yake vyanifariji."