Thursday, January 10, 2013

UTAMADUNI


Mchina na Mmakonde walikuwa wanabishana,
Mchina kamwambia Mmakonde yeye anakula vitu vyote vya baharini kasoro meli. Mmakonde akajibu mapigo na kusema yeye anakula vitu vyote vya Inchi kavu kasoro jiwe...upo hapo?