Friday, January 18, 2013

IN THE CLUB


Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club,
Malaya akamsogelea na kumuuliza "Unataka sex?" Jamaa akamwambia ndio lakini unaweza kunipa kama Mke wangu?" Malaya akamjibu " Hapa usipime, mimi noma nitakupa mpaka Mkeo usimukumbuke! kwani Mkeo anakupaje?" Jamaa akamjibu "Mke wangu ananipa bure." Malaya "Nyoo fisadi wa biashara za wenzio."