Sunday, September 2, 2012

MTAMBO WA KUREKEBISHA TABIA


Wajapani waliunda mashine ya kukamatia wezi na kuipeleka nchi zifuatazo kwa majaribio. Urusi baada nusu saa ikakamata wezi 40. Jamaica baada ya dk 20 ikakamata wezi 100. Ghana baada ya dk 15 ikakamata wezi 7860. China baada ya dk 10 ikakamata wezi 2500. Tanzania baada ya dk 5 mashine imeibiwa.