Sunday, September 2, 2012

MCHAGA NA HELA


Wachaga na pesa noma.
Mtoto; Mama nimemwomba baba fedha kidogo nikasuke nywele akaninyoa nywele zangu... 
Mama; una bahati mwanangu ungemwomba hela ya whitedent angekun'goa na meno yako yote uwe kibogoyo.