Friday, September 7, 2012

ZOEZI LA SENSA 2012


MAKARANI WA SENSA WALIVYOPATA TABU NA MAJINA YA WATU HUKO MBEYA, HII NI FAMILIA MOJA (......) ANAITWA AMFUGILE MWAKIVUZI, WATOTO 1.. ANTOMBILE MWAKIKUMA, 2..AMFILILE MWAKIKUNDU, 3...ANYONYILE MWAKISIMI. INGEKUWA WEWE UNGEFANYEJE??