Thursday, September 6, 2012

UALIMU KAZI


Kweli ualimu kazi!! Ticha kajamba darasani, kwa aibu akaomba likizo ya mwezi mzima, kurudi akawauliza wanafunzi tuliishia wapi? wakajibu pale ulipojamba.