Friday, August 31, 2012

MCHAGA NA DEMU WAKE


Mchaga alipata demu wa Kisukuma akaenda nae Gesti, demu kuvua nguo shanga kibao kiunoni, Mchaga akahamaki "yesu na maria hizi rozari zimeibiwa parokia gani aisee!"