Friday, August 31, 2012

DARASA LA PILI


Mtoto kamuuliza babake: Eti Baba, unataka tena kuanza shule? Baba akauliza kwa nini? Mtoto akamwambia jana usiku nilisikia unamwambia Mama eti kama anataka muende la pili. Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama mwende la pili? hata usikubali...!!!