Friday, April 13, 2012

DAWA YA MOTO NI MOTO


Mke na mke waligombana, mke akapaki nguo zake kwenye begi, mazunguzmo yake na mumewe yalikuwa hivi;
Mume: Unakwenda wapi?
Mke: Nakwenda kwa mama yangu.
Mume kusikia vile naye akaanza kupaki nguo zake kwenye begi, mkewe alishangaa na mazungumzo yakawa hivi;
Mke: Nawe unakwenda wapi?
Mume: Kwa mama yangu.
Mke: Na watoto wako unamuachia nani?
Mume: Na wao waende kwa mama yao.
Mke alibaki hoi na akarudisha nguo kabatini. Hii kali!


Courtesy: The Global Publishers