Thursday, June 20, 2013

ACHENI UTANIACHENI UTANI HATA KAMA MISHAHARA MIDOGO.Ona huu mtihani wa terminal  nimeunasa shule moja


1.Rais wa Sasa wa Tanzania ni Kikwe__
A)ta (b)te (c)ti (d)to (e)tu

2.Alye fanya Tanganyka iwe huru ni Nyere__ 
a)ra (b)re (c)ri (d)ro (e)ru.

3.Mlima mrefu kuliko yote Afrika ni Kilima___ro
a)nja  (b) nje  (c)nji  (d)njo  (e)nju.

TAFAKARI.