Friday, June 21, 2013

DIRTY MIND


Hebu jaribu kujaza herufi zinazokosekana: KUM_, CHUP_, UBO__ SHAHA__, UCH_, MATA__, MKUND_
hhaa! Mbona umejaza upuuzi unawaza ngono tu? Ilibidi ujaze KUMI,CHUPA,UBOVU,SHAHADA,UCHU,MATAMANIO,MKUNDE. Maneno haya yanaunda maana hii:CHUPA KUMI ZA BIA ZAMNYIMA SHAHADA MWENYE MATAMANIO NA UCHU KAMA KIPEPEO.