Thursday, June 20, 2013

MCHAGA KWA KUPENDA HELA


Basi lilipata ajali likazama kwenye mto, abiria wakaanza kujikomboa kwa kuogelea. Kwa bahati nzuri MCHAGA mmoja akajitahidi na kujiokoa. Kufika nchi kavu. MCHAGA akavua nguo na kutaka kujitupa tena mtoni wa2 wakamshika na kumuuliza kulikoni! Akajibu nataka kumtafuta KONDA hajanirudishia chenchi yangu.