Sunday, June 23, 2013

WABUNGEMTOTO: Baba hivi hiyo Redio ina spika?

BABA: Ndio mwanangu inayo Spika
MTOTO: Kama inayo spika, mbona haina Wabunge? Wako wapi?
BABA: Swali gumu Mwanangu..ngoja nisome Mwongozo..!!!