Sunday, June 24, 2012

PRAKATA TUMBA.......TUMBA!!!!KIBAKA alimpiga roba bubu, bubu akawa anajitetea kwa kupiga kelele:

Bubu: Abaabaabaabaa.

Kibaka, ili asijulikane kama anamkaba alimalizia naye kwa sauti ili ionekane wanaimba wimbo.

Kibaka: Prakata tumba…tumba.
COURTESY: THE GLOBAL PUBLISHER